CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 40
Tambulisha kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo. Mtoto huyo anataka kunywa maziwa yale.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
40. Tambulisha kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo.
Mtoto huyo anataka kunywa maziwa yale.
- Ayale
- Banataka
- Ckunywa
- Dhuyu
Answer
C. kunywa
"Anataka" ni kitenzi kisaidizi; kinasaidia kitenzi kikuu "kunywa", ambacho kinaonyesha kitendo chenyewe.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Kanusha sentensi hii. Meza ile imevunjika.Question 41
- Bainisha sentensi yenye matumizi yafaayo ya koma.Question 42
- Ukubwa wa neno ngazi niQuestion 43
- Tunasema kilinge cha wachawi lakini ___ cha barua.Question 44
- Nomino 'kiwavi' na 'kipepeo' huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 45
- Tamko lipi hutumiwa na watu wanapoagana bila matumaini ya kuonana kwa muda mrefu?Question 46