CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 39
Chagua sentensi iliyo katika wakati ujao hali ya kuendelea.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nyakati na Hali
39. Chagua sentensi iliyo katika wakati ujao hali ya kuendelea.
- AAnita anapika uji wa mtoto.
- BNg’ombe watakuwa wakila nyasi nitakapowafungua.
- CWanafunzi wataelezwa madhara ya dawa za kulevya.
- DMfinyanzi alikuwa akifinyanga chungu kikubwa.
Answer
B. Ng’ombe watakuwa wakila nyasi nitakapowafungua.
"Watakuwa wakila" ni wakati ujao (-ta-) na hali ya kuendelea (wakila).
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Tambulisha kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo. Mtoto huyo anataka kunywa maziwa yale.Question 40
- Kanusha sentensi hii. Meza ile imevunjika.Question 41
- Bainisha sentensi yenye matumizi yafaayo ya koma.Question 42
- Ukubwa wa neno ngazi niQuestion 43
- Tunasema kilinge cha wachawi lakini ___ cha barua.Question 44
- Nomino 'kiwavi' na 'kipepeo' huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 45