CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 38
Andika katika hali ya wingi. Mkoba huo una kitabu changu.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
38. Andika katika hali ya wingi.
Mkoba huo una kitabu changu.
- AMikoba hizo zina vitabu vyetu.
- BMikoba hayo yana vitabu vyetu.
- CMkoba huo una vitabu vyangu.
- DMikoba hiyo ina vitabu vyetu.
Answer
D. Mikoba hiyo ina vitabu vyetu.
Mkoba → mikoba (U-I), huo → hiyo, una → ina, kitabu changu → vitabu vyetu.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyo katika wakati ujao hali ya kuendelea.Question 39
- Tambulisha kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo. Mtoto huyo anataka kunywa maziwa yale.Question 40
- Kanusha sentensi hii. Meza ile imevunjika.Question 41
- Bainisha sentensi yenye matumizi yafaayo ya koma.Question 42
- Ukubwa wa neno ngazi niQuestion 43
- Tunasema kilinge cha wachawi lakini ___ cha barua.Question 44