CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 37
Chagua jibu lifaalo zaidi. Elimu ina ___ kubwa.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
37. Chagua jibu lifaalo zaidi.
Elimu ina ______ kubwa.
- Athamani
- Bdhamani
- Cdhamana
- Dthamana
Answer
A. thamani
Thamani ni ubora au faida ya kitu. Dhamana ni jukumu au rehani.
More Grade 7 Kiswahili questions from this test
- Andika katika hali ya wingi. Mkoba huo una kitabu changu.Question 38
- Chagua sentensi iliyo katika wakati ujao hali ya kuendelea.Question 39
- Tambulisha kitenzi kikuu katika sentensi ifuatayo. Mtoto huyo anataka kunywa maziwa yale.Question 40
- Kanusha sentensi hii. Meza ile imevunjika.Question 41
- Bainisha sentensi yenye matumizi yafaayo ya koma.Question 42
- Ukubwa wa neno ngazi niQuestion 43