naQonda

CBC Grade 7 Kiswahili Opener Exam Term 2 2026 · Question 36

Kuanzia nambari 36 mpaka 50 chagua jibu lifaalo zaidi kwa kila swali 36. Susana amevalia jozi ya vipuli masikioni. Neno jozi ni nomino ya

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Nomino

Kuanzia nambari 36 mpaka 50 chagua jibu lifaalo zaidi kwa kila swali
36. Susana amevalia jozi ya vipuli masikioni. Neno jozi ni nomino ya

  1. Apekee
  2. Bkawaida
  3. Cmakundi
  4. Ddhahania.

Answer

C. makundi

Jozi ni kundi la vitu viwili, kwa hivyo ni nomino ya makundi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 7 Kiswahili questions from this test