CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026: Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12)
Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 30 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 30 questions with answers
- Question 1: Tina alipoulizwa na mama yake kuhusu hali ya shule, alijibu vipi?Answer: B. Njema
- Question 2: Ni lipi kati ya maneno yafuatayo yaliyotumika kwenye mazungumzo ambalo halionyeshi adabu?Answer: D. Kweli
- Question 3: Methali "Mtaka cha mvunguni sharti ainame" ina maana ya kujitahidi ili kufanikiwa. Ni methali ipi iliyo tofauti kimaana na hiyo?Answer: A. Umoja ni nguvu, utengano ni udhaifu.
- Question 4: Ni lipi kati ya yafuatayo ambalo si mbinu ya kufanikiwa katika sanaa ya uchoraji?Answer: C. Kuwa mwaminifu na kuwaheshimu wenzako.
- Question 5: Katika mazungumzo, neno "mazingira" linamaanisha nini?Answer: A. Hali au vitu vinavyomzunguka kiumbe.
- Question 6: Ni kitendo kipi kinachoonyesha kwamba Mwafrika aliwajali jirani zake?Answer: B. Hakula kabla ya kujua hali ya jirani yake.
- Question 7: Kwa nini masuala ya mgeni yalipewa kipaumbele katika jamii nyingi za Kiafrika?Answer: A. Kwa sababu ujio wake ulikuwa wa pekee.
- Question 8: Mgeni akiwa na tabia isiyopendeza, wenyeji walifanya nini?Answer: A. Walimvumilia.
- Question 9: Kwa nini mgeni alichinjiwa mnyama siku ya kwanza alipowasili?Answer: B. Kuonyesha furaha ya wenyeji kwa ujio wake.
- Question 10: Nyama, maharagwe na mayai ni vyakula vya aina gani?Answer: C. Hujenga na kukuza mwili.
- Question 11: Kulingana na kifungu, ni haki ngapi za watoto zilizotajwa?Answer: A. Nne
- Question 12: Katika kifungu, neno "siha" lina maana gani?Answer: B. Afya
- Question 13: Kwa nini msimulizi anasema likizo yake ya Disemba ilikuwa ya kufurahisha?Answer: B. Kwa sababu alitembelea mbuga ya wanyama.
- Question 14: Kwa nini msimulizi alipata usingizi wa mang'amung'amu usiku kabla ya safari?Answer: A. Alikuwa na hamu kubwa ya kuanza safari.
- Question 15: Katika kifungu, neno "bashasha" lina maana gani?Answer: D. Furaha
- Question 16: Chagua jibu sahihi la pengo la 16.Answer: D. usafi
- Question 17: Chagua jibu sahihi la pengo la 17.Answer: B. wetu
- Question 18: Chagua jibu sahihi la pengo la 18.Answer: A. si
- Question 19: Chagua jibu sahihi la pengo la 19.Answer: C. ambao
- Question 20: Chagua jibu sahihi la pengo la 20.Answer: B. wakiathiriwa
- Question 21: Ni sentensi ipi iliyo katika wakati ujao?Answer: C. Gari la abiria litaondoka mapema.
- Question 22: Kamilisha sentensi kwa kutumia kinyume cha nomino iliyopigiwa mstari. (Nomino hiyo iko kwenye mabano.) Baada ya [kicheko] chake kulifuata…Answer: A. kilio
- Question 23: Ni lipi kati ya yafuatayo si nomino ya wingi?Answer: A. Kucheka
- Question 24: Chagua sentensi iliyoandikwa katika udogo. Mlango wa nyumba yake umeanguka.Answer: C. Kilango cha kijumba chake kimeanguka.
- Question 25: Kamilisha sentensi kwa kutumia nomino ya makundi inayofaa. Salim anapenda kutazama ___ nyota angani.Answer: D. thurea ya
- Question 26: Kanusha sentensi ifuatayo: Salome amekwea mlima.Answer: C. Salome hajakwea mlima.
- Question 27: Ni sentensi ipi iliyo katika ngeli ya U–ZI?Answer: B. Nyaraka zimeanguka majini.
- Question 28: Chagua mpangilio sahihi wa maneno yafuatayo jinsi yanavyopangwa katika kamusi. (i) Shtahiki (ii) Staja (iii) Stahili (iv) ShaibuAnswer: A. (iv), (i), (iii), (ii)
- Question 29: Ni lipi kati ya yafuatayo ni kisawe cha neno "njia"?Answer: A. Barabara
- Question 30: Kamilisha sentensi kwa kutumia nahau inayofaa. Rosa alipoingiwa na vumbi puani ___.Answer: B. alipiga chafya.