CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 28
Chagua mpangilio sahihi wa maneno yafuatayo jinsi yanavyopangwa katika kamusi. (i) Shtahiki (ii) Staja (iii) Stahili (iv) Shaibu
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kamusi
28. Chagua mpangilio sahihi wa maneno yafuatayo jinsi yanavyopangwa katika kamusi.
(i) Shtahiki (ii) Staja (iii) Stahili (iv) Shaibu
- A(iv), (i), (iii), (ii)
- B(i), (iv), (ii), (iii)
- C(iv), (ii), (i), (iii)
- D(i), (ii), (iii), (iv)
Answer
A. (iv), (i), (iii), (ii)
Shaibu, Shtahiki, Stahili, Staja.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni lipi kati ya yafuatayo ni kisawe cha neno "njia"?Question 29
- Kamilisha sentensi kwa kutumia nahau inayofaa. Rosa alipoingiwa na vumbi puani ___.Question 30
- Tina alipoulizwa na mama yake kuhusu hali ya shule, alijibu vipi?Question 1
- Ni lipi kati ya maneno yafuatayo yaliyotumika kwenye mazungumzo ambalo halionyeshi adabu?Question 2
- Methali "Mtaka cha mvunguni sharti ainame" ina maana ya kujitahidi ili kufanikiwa. Ni methali ipi iliyo tofauti…Question 3
- Ni lipi kati ya yafuatayo ambalo si mbinu ya kufanikiwa katika sanaa ya uchoraji?Question 4