CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 27
Ni sentensi ipi iliyo katika ngeli ya U–ZI?
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
27. Ni sentensi ipi iliyo katika ngeli ya U–ZI?
- ABaiskeli mpya zimenunuliwa.
- BNyaraka zimeanguka majini.
- CKofia yako limeanguka.
- DNdoo zote zimejaa maji.
Answer
B. Nyaraka zimeanguka majini.
Waraka – nyaraka: ngeli ya U–ZI.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua mpangilio sahihi wa maneno yafuatayo jinsi yanavyopangwa katika kamusi. (i) Shtahiki (ii) Staja (iii) Stahili…Question 28
- Ni lipi kati ya yafuatayo ni kisawe cha neno "njia"?Question 29
- Kamilisha sentensi kwa kutumia nahau inayofaa. Rosa alipoingiwa na vumbi puani ___.Question 30
- Tina alipoulizwa na mama yake kuhusu hali ya shule, alijibu vipi?Question 1
- Ni lipi kati ya maneno yafuatayo yaliyotumika kwenye mazungumzo ambalo halionyeshi adabu?Question 2
- Methali "Mtaka cha mvunguni sharti ainame" ina maana ya kujitahidi ili kufanikiwa. Ni methali ipi iliyo tofauti…Question 3