CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 26
Kanusha sentensi ifuatayo: Salome amekwea mlima.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
26. Kanusha sentensi ifuatayo:
Salome amekwea mlima.
- ASalome hatakwea mlima.
- BSalome hakukwea mlima.
- CSalome hajakwea mlima.
- DSalome hakwei mlima.
Answer
C. Salome hajakwea mlima.
Amekwea – hajakwea.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni sentensi ipi iliyo katika ngeli ya U–ZI?Question 27
- Chagua mpangilio sahihi wa maneno yafuatayo jinsi yanavyopangwa katika kamusi. (i) Shtahiki (ii) Staja (iii) Stahili…Question 28
- Ni lipi kati ya yafuatayo ni kisawe cha neno "njia"?Question 29
- Kamilisha sentensi kwa kutumia nahau inayofaa. Rosa alipoingiwa na vumbi puani ___.Question 30
- Tina alipoulizwa na mama yake kuhusu hali ya shule, alijibu vipi?Question 1
- Ni lipi kati ya maneno yafuatayo yaliyotumika kwenye mazungumzo ambalo halionyeshi adabu?Question 2