naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 25

Kamilisha sentensi kwa kutumia nomino ya makundi inayofaa. Salim anapenda kutazama ___ nyota angani.

From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Makundi

25. Kamilisha sentensi kwa kutumia nomino ya makundi inayofaa.
Salim anapenda kutazama ____ nyota angani.

  1. Asafu ya
  2. Bwingu la
  3. Cmlolongo wa
  4. Dthurea ya

Answer

D. thurea ya

Thurea ya nyota.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test