naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 24

Chagua sentensi iliyoandikwa katika udogo. Mlango wa nyumba yake umeanguka.

From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukubwa na Udogo

24. Chagua sentensi iliyoandikwa katika udogo.
Mlango wa nyumba yake umeanguka.

  1. AKilango cha chumba chake kimeanguka.
  2. BKilango cha nyumba yake kimeanguka.
  3. CKilango cha kijumba chake kimeanguka.
  4. DVilango vya nyumba yake vimeanguka.

Answer

C. Kilango cha kijumba chake kimeanguka.

Mlango – kilango; nyumba – kijumba.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test