CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 23
Ni lipi kati ya yafuatayo si nomino ya wingi?
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
23. Ni lipi kati ya yafuatayo si nomino ya wingi?
- AKucheka
- BManukato
- CMadawati
- DMiti
Answer
A. Kucheka
Kucheka ni kitenzi-jina; manukato, madawati na miti ni nomino za wingi.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua sentensi iliyoandikwa katika udogo. Mlango wa nyumba yake umeanguka.Question 24
- Kamilisha sentensi kwa kutumia nomino ya makundi inayofaa. Salim anapenda kutazama ___ nyota angani.Question 25
- Kanusha sentensi ifuatayo: Salome amekwea mlima.Question 26
- Ni sentensi ipi iliyo katika ngeli ya U–ZI?Question 27
- Chagua mpangilio sahihi wa maneno yafuatayo jinsi yanavyopangwa katika kamusi. (i) Shtahiki (ii) Staja (iii) Stahili…Question 28
- Ni lipi kati ya yafuatayo ni kisawe cha neno "njia"?Question 29