CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 22
Kamilisha sentensi kwa kutumia kinyume cha nomino iliyopigiwa mstari. (Nomino hiyo iko kwenye mabano.) Baada ya [kicheko] chake kulifuata ___.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vinyume
22. Kamilisha sentensi kwa kutumia kinyume cha nomino iliyopigiwa mstari. (Nomino hiyo iko kwenye mabano.)
Baada ya [kicheko] chake kulifuata ____.
- Akilio
- Btabasamu
- Cmachozi
- Dvurugu
Answer
A. kilio
Kicheko – kilio.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Ni lipi kati ya yafuatayo si nomino ya wingi?Question 23
- Chagua sentensi iliyoandikwa katika udogo. Mlango wa nyumba yake umeanguka.Question 24
- Kamilisha sentensi kwa kutumia nomino ya makundi inayofaa. Salim anapenda kutazama ___ nyota angani.Question 25
- Kanusha sentensi ifuatayo: Salome amekwea mlima.Question 26
- Ni sentensi ipi iliyo katika ngeli ya U–ZI?Question 27
- Chagua mpangilio sahihi wa maneno yafuatayo jinsi yanavyopangwa katika kamusi. (i) Shtahiki (ii) Staja (iii) Stahili…Question 28