CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 30
Kamilisha sentensi kwa kutumia nahau inayofaa. Rosa alipoingiwa na vumbi puani ___.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nahau
30. Kamilisha sentensi kwa kutumia nahau inayofaa.
Rosa alipoingiwa na vumbi puani ____.
- Aalipiga mswaki.
- Balipiga chafya.
- Calipenga kamasi.
- Dalifuta vumbi.
Answer
B. alipiga chafya.
Kupiga chafya.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Tina alipoulizwa na mama yake kuhusu hali ya shule, alijibu vipi?Question 1
- Ni lipi kati ya maneno yafuatayo yaliyotumika kwenye mazungumzo ambalo halionyeshi adabu?Question 2
- Methali "Mtaka cha mvunguni sharti ainame" ina maana ya kujitahidi ili kufanikiwa. Ni methali ipi iliyo tofauti…Question 3
- Ni lipi kati ya yafuatayo ambalo si mbinu ya kufanikiwa katika sanaa ya uchoraji?Question 4
- Katika mazungumzo, neno "mazingira" linamaanisha nini?Question 5
- Ni kitendo kipi kinachoonyesha kwamba Mwafrika aliwajali jirani zake?Question 6