naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 20

Chagua jibu sahihi la pengo la 20.

From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ufahamu wa Kujaza Pengo

Soma kifungu kifuatacho. Kina nafasi 16 hadi 20. Chagua jibu lifaalo zaidi.
Kuzingatia __16__ wa kila mmoja __17__ shuleni na nyumbani __18__ jambo la kubishana kamwe. Wanafunzi __19__ hupuuza usafi wao hujipata __20__ na magonjwa mbalimbali.

20. Chagua jibu sahihi la pengo la 20.

  1. Awakikabidiwa
  2. Bwakiathiriwa
  3. Cwakiepuka
  4. Dwakiepushwa

Answer

B. wakiathiriwa

Hujipata wakiathiriwa na magonjwa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test