CBC Grade 5 Kiswahili Opener Exam Term 3 2026 · Question 18
Chagua jibu sahihi la pengo la 18.
From Kiswahili — Term 3 Opener Assessment 2026 (Set 12) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ufahamu wa Kujaza Pengo
Soma kifungu kifuatacho. Kina nafasi 16 hadi 20. Chagua jibu lifaalo zaidi.
Kuzingatia __16__ wa kila mmoja __17__ shuleni na nyumbani __18__ jambo la kubishana kamwe. Wanafunzi __19__ hupuuza usafi wao hujipata __20__ na magonjwa mbalimbali.
18. Chagua jibu sahihi la pengo la 18.
- Asi
- Bndio
- Csio
- Dhivyo
Answer
A. si
Si jambo la kubishana.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi la pengo la 19.Question 19
- Chagua jibu sahihi la pengo la 20.Question 20
- Ni sentensi ipi iliyo katika wakati ujao?Question 21
- Kamilisha sentensi kwa kutumia kinyume cha nomino iliyopigiwa mstari. (Nomino hiyo iko kwenye mabano.) Baada ya…Question 22
- Ni lipi kati ya yafuatayo si nomino ya wingi?Question 23
- Chagua sentensi iliyoandikwa katika udogo. Mlango wa nyumba yake umeanguka.Question 24