CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025: Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10)
Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 38 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Fasihi.
All 38 questions with answers
- Question 1: Kifaru alikuwa kiongozi wa wapi? (alama 1)Answer: Nchi ya Tujueni
- Question 2: Kwa nini wanyama walihudhuria mkutano? (alama 1)Answer: Kujadili usalama wao.
- Question 3: Kama Chui asingetoroka, nini kingemtokea? (alama 1)Answer: Angeuawa (angekanyagwa) na ndovu.
- Question 4: Ni funzo lipi linalojitokeza katika kifungu hiki? (alama 1)Answer: Umoja ni nguvu – tushirikiane ili tujilinde.
- Question 5: Nini kinasababisha wengine kuingilia matumizi ya dawa za kulevya kulingana na kifungu? (alama 1)Answer: Kukata tamaa kwa kukosa ajira.
- Question 6: Jukumu la serikali ni lipi? (alama 1)Answer: C. Kulinda maslahi ya raia wake
- Question 7: Kilimo ni njia mojawapo ya kujiendeleza kiuchumi. Unadhani ni kwa nini vijana wanakipuuza kilimo? (alama 1)Answer: Wanakichukulia kuwa kazi duni isiyo na hadhi.
- Question 8: Kisawe cha neno kilimo ni zaraa. Kisawe cha neno hadhi ni (alama 1)Answer: C. Staha
- Question 9: Eleza habari kuu inayojadiliwa katika aya ya kwanza kwa sentensi moja. (alama 1)Answer: Kila mtoto anapaswa kupelekwa shule apate elimu itakayomnufaisha baadaye.
- Question 10: Kifungu kinasema, ‘si vigumu kwa mtu aliyeelimika kupata njia za kujipatia chakula, mahali pa kukaa na kile atakachovaa.’ Fupisha kauli…Answer: Aliyeelimika hukidhi mahitaji yake kwa urahisi.
- Question 11: Andika ujumbe uliokolezwa katika aya ya mwisho kwa sentensi moja. (alama 1)Answer: Wazazi wawasaidie watoto shuleni nao watoto wasome kwa bidii ili watimize malengo yao.
- Question 12: Andika mada inayofaa zaidi kwa kifungu hiki. (alama 1)Answer: Manufaa ya elimu
- Question 13: Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 13.Answer: D. tangu
- Question 14: Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 14.Answer: B. waliwatunza
- Question 15: Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 15.Answer: C. mengi
- Question 16: Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 16.Answer: A. Yaliyotumiwa
- Question 17: Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 17.Answer: C. thamani
- Question 18: Chagua kiwakilishi katika sentensi ifuatayo. Darasa letu lina wanafunzi wengi lakini watatu hawakufanya mtihani. (alama 1)Answer: watatu
- Question 19: Sentensi ‘nyua zilizojengwa ni thabaiti’ iko katika hali ya wingi. Andika umoja wa sentensi hiyo. (alama 1)Answer: Ua uliojengwa ni thabiti.
- Question 20: Tambulisha kitenzi kisaidizi katika sentensi ifuatayo. (alama 1) Mwalimu alikuwa akifundisha somo la Kiswahili.Answer: alikuwa
- Question 21: Kamilisha sentensi kwa kuchagua neno lifaalo zaidi. (alama 1) ……… lililonunuliwa linapendeza. (meza, nguo, kabati)Answer: Kabati
- Question 22: Andika kinyume cha neno lililoangaziwa katika sentensi ifuatayo. (alama 1) [Wageni] wamepata mahali pa kukaa. (Neno katika mabano ndilo…Answer: Wenyeji
- Question 23: Iandike sentensi ifuaayo upya ukitumia hali timilifu. (alama 1) Chifu atawahutubia vijana kijijini.Answer: Chifu amewahutubia vijana kijijini.
- Question 24: Jibu lipi lina nomino dhahania pekee? (alama 1)Answer: B. Furaha, amani, upendo, ushirikiano
- Question 25: Sentensi ‘Jumba lile limejengwa kisasa’ iko katika hali ya ukubwa. Tunga sentensi kwa kutumia ukubwa wa neno ngoma. (alama 2)Answer: Goma lile limepigwa kwa nguvu.
- Question 26: Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa. Mwalimu aliwaambia wanafunzi, “Mtafanya mtihani wenu wa kitaifa mwaka ujao.” (alama 2)Answer: Mwalimu aliwaambia wanafunzi kwamba wangefanya mtihani wao wa kitaifa mwaka ambao ungefuata.
- Question 27: Unganisha sentensi zifuatazo kwa usahihi. (alama 2) Sitainywa chai hii. Chai hii ina sukari nyingi.Answer: Sitainywa chai hii kwa sababu ina sukari nyingi.
- Question 28: (a) Hadithi ya aina hii huitwaje? (alama 1)Answer: Kisasili
- Question 29: (b) Binadamu ni mhusika katika hadithi hii. Taja wahusika wengine watatu katika hadithi hii. (alama 3)Answer: Mulungu, Kinyonga na Mnana (Kunguru).
- Question 30: (c) Eleza sifa mbili za hadithi ya aina hii ambazo zinajitokeza katika hadithi hii. (alama 4)Answer: Inaeleza asili ya jambo (kifo); ina wahusika wa ajabu kama Mulungu na wanyama wanaozungumza.
- Question 31: (d) Hadithi hii inaelezea kuhusu nini? (alama 1)Answer: Asili ya kifo
- Question 32: (e) Binadamu alikuwa na jukumu lipi kulingana na hadithi hii? (alama 1)Answer: Kutunza mazingira na kujali maslahi ya viumbe wengine.
- Question 33: (f) Taja mafunzo mawili yanayopatikana katika hadithi hii. (alama 1)Answer: Tuwe na subira; tusifanye mambo kwa papara.
- Question 34: (a) Taja aina mbili za mandhari zinazojitokeza katika dondoo hili. (alama 2)Answer: Barabarani na ofisini mwa Chifu.
- Question 35: (b) Eleza masuala mawili ambayo mwandishi ameangazia katika dondoo hili. (alama 2)Answer: Ndoa za mapema – Rehema anaozwa; umaskini – unamsukuma baba yake amwoze.
- Question 36: (c) Fafanua sifa mbili za Mama Halima kulingana na dondoo hili. (alama 2)Answer: Anayejali – anapigania haki ya Rehema; msiri – anatazama kama watu wanasikia.
- Question 37: (d) Haki za watoto zimezingatiwa vipi katika dondoo hili? (alama 1)Answer: Mama Halima na Bi Rahma wanamshtakia Chifu ili Rehema asiozwe aendelee na masomo.
- Question 38: (e) Huku ukitolea mifano mwafaka, jadili mbinu zozote tatu za lugha ambazo mwandishi wa dondoo hili ametumia. (alama 3)Answer: Methali – "mwacha mila ni mtumwa"; tashbihi – "kipofu mithili ya jongoo"; nahau – "tutafyata ndimi".