CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 19
Sentensi ‘nyua zilizojengwa ni thabaiti’ iko katika hali ya wingi. Andika umoja wa sentensi hiyo. (alama 1)
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
19. Sentensi ‘nyua zilizojengwa ni thabaiti’ iko katika hali ya wingi. Andika umoja wa sentensi hiyo. (alama 1)
Answer
Ua uliojengwa ni thabiti.
Nyua – ua (U-ZI).
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Tambulisha kitenzi kisaidizi katika sentensi ifuatayo. (alama 1) Mwalimu alikuwa akifundisha somo la Kiswahili.Question 20
- Kamilisha sentensi kwa kuchagua neno lifaalo zaidi. (alama 1) ……… lililonunuliwa linapendeza. (meza, nguo, kabati)Question 21
- Andika kinyume cha neno lililoangaziwa katika sentensi ifuatayo. (alama 1) [Wageni] wamepata mahali pa kukaa. (Neno…Question 22
- Iandike sentensi ifuaayo upya ukitumia hali timilifu. (alama 1) Chifu atawahutubia vijana kijijini.Question 23
- Jibu lipi lina nomino dhahania pekee? (alama 1)Question 24
- Sentensi ‘Jumba lile limejengwa kisasa’ iko katika hali ya ukubwa. Tunga sentensi kwa kutumia ukubwa wa neno ngoma.…Question 25