CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 24
Jibu lipi lina nomino dhahania pekee? (alama 1)
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Nomino
24. Jibu lipi lina nomino dhahania pekee? (alama 1)
- AMaji, unga, sukari, chai
- BFuraha, amani, upendo, ushirikiano
- Ckuoga, kutemba, kula, kushangilia
- Dkipeto, thureya, safu, shungi
Answer
B. Furaha, amani, upendo, ushirikiano
Hisia na hali zisizoshikika.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Sentensi ‘Jumba lile limejengwa kisasa’ iko katika hali ya ukubwa. Tunga sentensi kwa kutumia ukubwa wa neno ngoma.…Question 25
- Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa. Mwalimu aliwaambia wanafunzi, “Mtafanya mtihani wenu wa kitaifa…Question 26
- Unganisha sentensi zifuatazo kwa usahihi. (alama 2) Sitainywa chai hii. Chai hii ina sukari nyingi.Question 27
- (a) Hadithi ya aina hii huitwaje? (alama 1)Question 28
- (b) Binadamu ni mhusika katika hadithi hii. Taja wahusika wengine watatu katika hadithi hii. (alama 3)Question 29
- (c) Eleza sifa mbili za hadithi ya aina hii ambazo zinajitokeza katika hadithi hii. (alama 4)Question 30