CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 26
Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa. Mwalimu aliwaambia wanafunzi, “Mtafanya mtihani wenu wa kitaifa mwaka ujao.” (alama 2)
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Usemi wa Taarifa
26. Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa. Mwalimu aliwaambia wanafunzi, “Mtafanya mtihani wenu wa kitaifa mwaka ujao.” (alama 2)
Answer
Mwalimu aliwaambia wanafunzi kwamba wangefanya mtihani wao wa kitaifa mwaka ambao ungefuata.
Badilisha nafsi na wakati.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Unganisha sentensi zifuatazo kwa usahihi. (alama 2) Sitainywa chai hii. Chai hii ina sukari nyingi.Question 27
- (a) Hadithi ya aina hii huitwaje? (alama 1)Question 28
- (b) Binadamu ni mhusika katika hadithi hii. Taja wahusika wengine watatu katika hadithi hii. (alama 3)Question 29
- (c) Eleza sifa mbili za hadithi ya aina hii ambazo zinajitokeza katika hadithi hii. (alama 4)Question 30
- (d) Hadithi hii inaelezea kuhusu nini? (alama 1)Question 31
- (e) Binadamu alikuwa na jukumu lipi kulingana na hadithi hii? (alama 1)Question 32