CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 27
Unganisha sentensi zifuatazo kwa usahihi. (alama 2) Sitainywa chai hii. Chai hii ina sukari nyingi.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 2 marks · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuunganisha Sentensi
27. Unganisha sentensi zifuatazo kwa usahihi. (alama 2)
Sitainywa chai hii.
Chai hii ina sukari nyingi.
Answer
Sitainywa chai hii kwa sababu ina sukari nyingi.
Tumia kiunganishi cha sababu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- (a) Hadithi ya aina hii huitwaje? (alama 1)Question 28
- (b) Binadamu ni mhusika katika hadithi hii. Taja wahusika wengine watatu katika hadithi hii. (alama 3)Question 29
- (c) Eleza sifa mbili za hadithi ya aina hii ambazo zinajitokeza katika hadithi hii. (alama 4)Question 30
- (d) Hadithi hii inaelezea kuhusu nini? (alama 1)Question 31
- (e) Binadamu alikuwa na jukumu lipi kulingana na hadithi hii? (alama 1)Question 32
- (f) Taja mafunzo mawili yanayopatikana katika hadithi hii. (alama 1)Question 33