CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 21
Kamilisha sentensi kwa kuchagua neno lifaalo zaidi. (alama 1) ……… lililonunuliwa linapendeza. (meza, nguo, kabati)
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
21. Kamilisha sentensi kwa kuchagua neno lifaalo zaidi. (alama 1)
……… lililonunuliwa linapendeza. (meza, nguo, kabati)
Answer
Kabati
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Andika kinyume cha neno lililoangaziwa katika sentensi ifuatayo. (alama 1) [Wageni] wamepata mahali pa kukaa. (Neno…Question 22
- Iandike sentensi ifuaayo upya ukitumia hali timilifu. (alama 1) Chifu atawahutubia vijana kijijini.Question 23
- Jibu lipi lina nomino dhahania pekee? (alama 1)Question 24
- Sentensi ‘Jumba lile limejengwa kisasa’ iko katika hali ya ukubwa. Tunga sentensi kwa kutumia ukubwa wa neno ngoma.…Question 25
- Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa. Mwalimu aliwaambia wanafunzi, “Mtafanya mtihani wenu wa kitaifa…Question 26
- Unganisha sentensi zifuatazo kwa usahihi. (alama 2) Sitainywa chai hii. Chai hii ina sukari nyingi.Question 27