CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 20
Tambulisha kitenzi kisaidizi katika sentensi ifuatayo. (alama 1) Mwalimu alikuwa akifundisha somo la Kiswahili.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vitenzi
20. Tambulisha kitenzi kisaidizi katika sentensi ifuatayo. (alama 1)
Mwalimu alikuwa akifundisha somo la Kiswahili.
Answer
alikuwa
Kinasaidia kitenzi kikuu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha sentensi kwa kuchagua neno lifaalo zaidi. (alama 1) ……… lililonunuliwa linapendeza. (meza, nguo, kabati)Question 21
- Andika kinyume cha neno lililoangaziwa katika sentensi ifuatayo. (alama 1) [Wageni] wamepata mahali pa kukaa. (Neno…Question 22
- Iandike sentensi ifuaayo upya ukitumia hali timilifu. (alama 1) Chifu atawahutubia vijana kijijini.Question 23
- Jibu lipi lina nomino dhahania pekee? (alama 1)Question 24
- Sentensi ‘Jumba lile limejengwa kisasa’ iko katika hali ya ukubwa. Tunga sentensi kwa kutumia ukubwa wa neno ngoma.…Question 25
- Andika sentensi ifuatayo katika usemi wa taarifa. Mwalimu aliwaambia wanafunzi, “Mtafanya mtihani wenu wa kitaifa…Question 26