naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 22

Andika kinyume cha neno lililoangaziwa katika sentensi ifuatayo. (alama 1) [Wageni] wamepata mahali pa kukaa. (Neno katika mabano ndilo lililoangaziwa.)

From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vinyume

22. Andika kinyume cha neno lililoangaziwa katika sentensi ifuatayo. (alama 1)
[Wageni] wamepata mahali pa kukaa.
(Neno katika mabano ndilo lililoangaziwa.)

Answer

Wenyeji

Kinyume cha mgeni.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test