CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 18
Chagua kiwakilishi katika sentensi ifuatayo. Darasa letu lina wanafunzi wengi lakini watatu hawakufanya mtihani. (alama 1)
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi
18. Chagua kiwakilishi katika sentensi ifuatayo.
Darasa letu lina wanafunzi wengi lakini watatu hawakufanya mtihani. (alama 1)
Answer
watatu
Neno linalosimama badala ya nomino.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Sentensi ‘nyua zilizojengwa ni thabaiti’ iko katika hali ya wingi. Andika umoja wa sentensi hiyo. (alama 1)Question 19
- Tambulisha kitenzi kisaidizi katika sentensi ifuatayo. (alama 1) Mwalimu alikuwa akifundisha somo la Kiswahili.Question 20
- Kamilisha sentensi kwa kuchagua neno lifaalo zaidi. (alama 1) ……… lililonunuliwa linapendeza. (meza, nguo, kabati)Question 21
- Andika kinyume cha neno lililoangaziwa katika sentensi ifuatayo. (alama 1) [Wageni] wamepata mahali pa kukaa. (Neno…Question 22
- Iandike sentensi ifuaayo upya ukitumia hali timilifu. (alama 1) Chifu atawahutubia vijana kijijini.Question 23
- Jibu lipi lina nomino dhahania pekee? (alama 1)Question 24