CBC Grade 8 Kiswahili Opener Exam Term 2 2025 · Question 15
Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 15.
From Kiswahili — Term 2 Opener Assessment 2025 (Set 10) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kujaza Nafasi
SARUFI
Jaza pengo kwa kuchagua jibu sahihi. (alama 5)
__13__ zamani, binadamu __14__ wanyama ipasavyo kutokana na manufaa yao __15__. Kwa mfano, ng’ombe na mbuzi waliwapa maziwa __16__ katika shughuli za nyumbani. Tunapaswa kuzingatia __17__ ya wanyama ili tusiwatese tunapowafuga nyumbani kwetu. Nao pia wana haki zao kama ilivyo kwa binadamu.
15. Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 15.
- ANyingi
- Bmingi
- Cmengi
- Dkwingi
Answer
C. mengi
Manufaa (MA) – mengi.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 16.Question 16
- Chagua jibu sahihi kujaza pengo la 17.Question 17
- Chagua kiwakilishi katika sentensi ifuatayo. Darasa letu lina wanafunzi wengi lakini watatu hawakufanya mtihani.…Question 18
- Sentensi ‘nyua zilizojengwa ni thabaiti’ iko katika hali ya wingi. Andika umoja wa sentensi hiyo. (alama 1)Question 19
- Tambulisha kitenzi kisaidizi katika sentensi ifuatayo. (alama 1) Mwalimu alikuwa akifundisha somo la Kiswahili.Question 20
- Kamilisha sentensi kwa kuchagua neno lifaalo zaidi. (alama 1) ……… lililonunuliwa linapendeza. (meza, nguo, kabati)Question 21