CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026: Karatasi ya Marudio 2026 (Test 16)
Test 16 — Karatasi ya Marudio 2026 · Revision Paper 2026 · 31 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 31 questions with answers
- Question 1: Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali kutoka swali la 1 hadi la 6. PAULA: Nasikitika kwamba mwaka huu pia tunashuhudia majanga…Answer: B. Masika
- Question 2: Paula anasema kuwa changamoto hii ya majanga imekuwa ikitokea?Answer: C. Kila mwaka
- Question 3: Lipi kati ya haya si tatizo ambalo linashuhudiwa katika msimu wa kiangazi kikali?Answer: A. Mafuriko
- Question 4: Inapendekezwa kwamba ni nani ambaye anafaa kushughulikia hali hii?Answer: C. Kila mmoja nchini
- Question 5: Kwa kutafuta soko la kuuza mifugo, serikali itakuwa ikisaidia vipi?Answer: C. Kupunguza hasara ya vifo vya mifugo hawa
- Question 6: Msimu wa baridi nyingi bila mvua huitwa vipi?Answer: B. Kipupwe
- Question 7: Soma ufahamu unaofuata kisha ujibu swali la 7 hadi 11 Taifa la Kenya lina makabila zaidi ya arubaini na matano. Makabila haya yametapakaa…Answer: A. Jukumu la kututambulisha kitaifa
- Question 8: Aya ya pili inasema kuwa utamaduni wa jamii moja hupokezwa kwa jamii ijayo kutoka wapi?Answer: D. Kutoka kwa kizazi kimoja
- Question 9: Ipi kati ya hizi si miongoni mwa mila na utamaduni wa jamii mbalimbali nchini?Answer: C. Idadi yao
- Question 10: Ni jamii zipi ambazo zinatambulika kwa utalii na shughuli za uvuvi miongoni mwa hizi?Answer: D. Jamii za mwambao wa pwani
- Question 11: Ni nini maana ya kuonea fahari kama ilivyotumika kwenye kifungu hiki?Answer: B. Kufurahia
- Question 12: Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali kutoka 12 hadi 15 Suzana aliwashangaza wengi alipoibuka kuwa mshindi katika mashindano ya…Answer: B. Changamoto za kijinsia
- Question 13: Kifungu kinasema kuwa jamii iliamini nini kuhusu uwezo na jinsia?Answer: A. Kwamba fani fulani zilitengewa jinsia moja tu
- Question 14: Kipaji cha Suzana kilitambulika wakati gani kwa mujibu wa kifungu hiki?Answer: D. Akiwa bado mdogo
- Question 15: Aya ya mwisho inasema kuwa Suzana alipewa zawadi ngapi?Answer: B. Mbili
- Question 16: Kutoka swali la 16 hadi 20, umepewa viteuzi vinne kwa kila kiteuzi chagua jibu sahihi. Majanga ni mambo yanayoleta ___16___ katika maisha…Answer: B. maafa
- Question 17: Kutoka swali la 16 hadi 20, umepewa viteuzi vinne kwa kila kiteuzi chagua jibu sahihi. Majanga ni mambo yanayoleta ___16___ katika maisha…Answer: C. ardhi
- Question 18: Kutoka swali la 16 hadi 20, umepewa viteuzi vinne kwa kila kiteuzi chagua jibu sahihi. Majanga ni mambo yanayoleta ___16___ katika maisha…Answer: D. hasara
- Question 19: Kutoka swali la 16 hadi 20, umepewa viteuzi vinne kwa kila kiteuzi chagua jibu sahihi. Majanga ni mambo yanayoleta ___16___ katika maisha…Answer: A. za
- Question 20: Kutoka swali la 16 hadi 20, umepewa viteuzi vinne kwa kila kiteuzi chagua jibu sahihi. Majanga ni mambo yanayoleta ___16___ katika maisha…Answer: C. waangalifu
- Question 21: Tambua sentensi yenye kivumishi kimilikishi miongoni mwa hizi.Answer: B. Baiskeli yake imepakwa rangi
- Question 22: Ni sentensi ipi ambayo imeakifishwa kwa usahihi?Answer: C. Gari liliondoka kituoni 5:30 asubuhi.
- Question 23: Ni sentensi gani inayoonyesha matumizi sahihi ya maneno ya heshima na adabu?Answer: C. Niwie radhi kwa kuchelewa kufika shuleni.
- Question 24: Ni neno gani ambalo halipatikani katika ngeli ya YA-YA?Answer: C. Maembe
- Question 25: Andika wingi. Mwanafunzi mtundu alienda shuleni na mihadarati.Answer: A. Wanafunzi watundu walienda shuleni na mihadarati
- Question 26: Kiungo cha mwili ambacho humsaidia binadamu kufikiria huitwaAnswer: C. Ubongo
- Question 27: Ni methali gani miongoni mwa hizi ambayo ni tofauti na nyingine?Answer: A. Wema hauozi
- Question 28: Jibu sahihi la buriani ni lipi miongoni mwa haya?Answer: A. Buriani pia
- Question 29: Mshororo unaorudiwarudiwa katika shairi huitwaAnswer: D. Kiitikio
- Question 30: Jaza pengo kwa jibu sahihi. Nchi yetu ilipata uhuru mwaka ___Answer: B. gani?
- Question 31: INSHA. Andika insha inayovutia kuhusu: SIKU YA MICHEZO SHULENI.Answer: SIKU YA MICHEZO SHULENI Asubuhi moja ya Ijumaa, mwalimu mkuu alitangaza kuwa siku hiyo ingekuwa Siku ya…