CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 27
Ni methali gani miongoni mwa hizi ambayo ni tofauti na nyingine?
From Test 16 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Methali
Ni methali gani miongoni mwa hizi ambayo ni tofauti na nyingine?
- AWema hauozi
- BUmoja ni nguvu utengano ni udhaifu
- CUkuni mmoja hauwaki mekoni
- DJifya moja haliinjiki chungu
Answer
A. Wema hauozi
Methali B, C na D zote zinahusu umoja/ushirikiano, lakini 'Wema hauozi' inahusu wema/fadhila, hivyo ni tofauti kimaudhui.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Jibu sahihi la buriani ni lipi miongoni mwa haya?Question 28
- Mshororo unaorudiwarudiwa katika shairi huitwaQuestion 29
- Jaza pengo kwa jibu sahihi. Nchi yetu ilipata uhuru mwaka ___Question 30
- INSHA. Andika insha inayovutia kuhusu: SIKU YA MICHEZO SHULENI.Question 31
- Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali kutoka swali la 1 hadi la 6. PAULA: Nasikitika kwamba mwaka huu pia…Question 1
- Paula anasema kuwa changamoto hii ya majanga imekuwa ikitokea?Question 2