CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 26
Kiungo cha mwili ambacho humsaidia binadamu kufikiria huitwa
From Test 16 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Kiungo cha mwili ambacho humsaidia binadamu kufikiria huitwa
- AKichwa
- BFuvu
- CUbongo
- DFigo
Answer
C. Ubongo
Ubongo ndio kiungo kinachowezesha binadamu kufikiri.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Ni methali gani miongoni mwa hizi ambayo ni tofauti na nyingine?Question 27
- Jibu sahihi la buriani ni lipi miongoni mwa haya?Question 28
- Mshororo unaorudiwarudiwa katika shairi huitwaQuestion 29
- Jaza pengo kwa jibu sahihi. Nchi yetu ilipata uhuru mwaka ___Question 30
- INSHA. Andika insha inayovutia kuhusu: SIKU YA MICHEZO SHULENI.Question 31
- Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali kutoka swali la 1 hadi la 6. PAULA: Nasikitika kwamba mwaka huu pia…Question 1