CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 25
Andika wingi. Mwanafunzi mtundu alienda shuleni na mihadarati.
From Test 16 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
Andika wingi. Mwanafunzi mtundu alienda shuleni na mihadarati.
- AWanafunzi watundu walienda shuleni na mihadarati
- BWanafunzi watundu walienda mashuleni na mamihadarati
- CMwanafunzi mtundu alienda mashuleni na mihadarati
- DMwanafunzi mtundu hakuenda shuleni na mihadarati
Answer
A. Wanafunzi watundu walienda shuleni na mihadarati
Wingi sahihi hubadilisha 'mwanafunzi mtundu alienda' kuwa 'wanafunzi watundu walienda' huku 'shuleni' (mahali) likibaki bila kubadilika.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Kiungo cha mwili ambacho humsaidia binadamu kufikiria huitwaQuestion 26
- Ni methali gani miongoni mwa hizi ambayo ni tofauti na nyingine?Question 27
- Jibu sahihi la buriani ni lipi miongoni mwa haya?Question 28
- Mshororo unaorudiwarudiwa katika shairi huitwaQuestion 29
- Jaza pengo kwa jibu sahihi. Nchi yetu ilipata uhuru mwaka ___Question 30
- INSHA. Andika insha inayovutia kuhusu: SIKU YA MICHEZO SHULENI.Question 31