CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 24
Ni neno gani ambalo halipatikani katika ngeli ya YA-YA?
From Test 16 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
Ni neno gani ambalo halipatikani katika ngeli ya YA-YA?
- AMaji
- BMaradhi
- CMaembe
- DMafuta
Answer
C. Maembe
Maneno 'maji', 'maradhi' na 'mafuta' hupatana na kiambishi 'ya' pekee (ngeli ya YA-YA), lakini 'maembe' (umoja 'embe') hupatana katika ngeli ya LI-YA, hivyo halipatikani katika ngeli ya YA-YA pekee.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Andika wingi. Mwanafunzi mtundu alienda shuleni na mihadarati.Question 25
- Kiungo cha mwili ambacho humsaidia binadamu kufikiria huitwaQuestion 26
- Ni methali gani miongoni mwa hizi ambayo ni tofauti na nyingine?Question 27
- Jibu sahihi la buriani ni lipi miongoni mwa haya?Question 28
- Mshororo unaorudiwarudiwa katika shairi huitwaQuestion 29
- Jaza pengo kwa jibu sahihi. Nchi yetu ilipata uhuru mwaka ___Question 30