CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 23
Ni sentensi gani inayoonyesha matumizi sahihi ya maneno ya heshima na adabu?
From Test 16 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Maneno ya Heshima
Ni sentensi gani inayoonyesha matumizi sahihi ya maneno ya heshima na adabu?
- AMwalimu alimruhusu Omollo kwenda chooni.
- BTulianza safari machweo kurudi nyumbani.
- CNiwie radhi kwa kuchelewa kufika shuleni.
- DMgonjwa alikufa baada ya kukosa matibabu.
Answer
C. Niwie radhi kwa kuchelewa kufika shuleni.
'Niwie radhi' ni msemo wa heshima unaotumika kuomba msamaha kwa adabu.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Ni neno gani ambalo halipatikani katika ngeli ya YA-YA?Question 24
- Andika wingi. Mwanafunzi mtundu alienda shuleni na mihadarati.Question 25
- Kiungo cha mwili ambacho humsaidia binadamu kufikiria huitwaQuestion 26
- Ni methali gani miongoni mwa hizi ambayo ni tofauti na nyingine?Question 27
- Jibu sahihi la buriani ni lipi miongoni mwa haya?Question 28
- Mshororo unaorudiwarudiwa katika shairi huitwaQuestion 29