CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 22
Ni sentensi ipi ambayo imeakifishwa kwa usahihi?
From Test 16 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Uakifishaji
Ni sentensi ipi ambayo imeakifishwa kwa usahihi?
- ATulipofika tuliwaona simba, chui na Nyati katika mbuga.
- BSalome amebeba mtungi, "mama alisema."
- CGari liliondoka kituoni 5:30 asubuhi.
- DAlisoma gazeti la taifa leo
Answer
C. Gari liliondoka kituoni 5:30 asubuhi.
Sentensi 'Gari liliondoka kituoni 5:30 asubuhi.' imeakifishwa kwa usahihi; nyingine zina makosa ya herufi kubwa isiyo ya lazima, matumizi mabaya ya alama za usemi, au ukosefu wa kituo.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Ni sentensi gani inayoonyesha matumizi sahihi ya maneno ya heshima na adabu?Question 23
- Ni neno gani ambalo halipatikani katika ngeli ya YA-YA?Question 24
- Andika wingi. Mwanafunzi mtundu alienda shuleni na mihadarati.Question 25
- Kiungo cha mwili ambacho humsaidia binadamu kufikiria huitwaQuestion 26
- Ni methali gani miongoni mwa hizi ambayo ni tofauti na nyingine?Question 27
- Jibu sahihi la buriani ni lipi miongoni mwa haya?Question 28