naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 2

Paula anasema kuwa changamoto hii ya majanga imekuwa ikitokea?

From Test 16 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Mazungumzo

Paula anasema kuwa changamoto hii ya majanga imekuwa ikitokea?

  1. AKila baada ya mwaka mmoja
  2. BKila mwezi katika mwaka
  3. CKila mwaka
  4. DBaada ya mwongo mmoja

Answer

C. Kila mwaka

Paula anasema, "Tatizo hili ni la miaka nenda miaka rudi," ikimaanisha linatokea kila mwaka.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test