CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 5
Kwa kutafuta soko la kuuza mifugo, serikali itakuwa ikisaidia vipi?
From Test 16 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Mazungumzo
Kwa kutafuta soko la kuuza mifugo, serikali itakuwa ikisaidia vipi?
- AKuhakikisha kuwa wakulima wanauza mifugo wote
- BKwa kuhakikisha kuwa mafuriko yanakosa kuja
- CKupunguza hasara ya vifo vya mifugo hawa
- DKupunguza shughuli za kuokoa mifugo
Answer
C. Kupunguza hasara ya vifo vya mifugo hawa
Jona anasema soko hilo litasaidia "kupunguza hasara inayotokana na vifo vya wanyama hawa."
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Msimu wa baridi nyingi bila mvua huitwa vipi?Question 6
- Soma ufahamu unaofuata kisha ujibu swali la 7 hadi 11 Taifa la Kenya lina makabila zaidi ya arubaini na matano.…Question 7
- Aya ya pili inasema kuwa utamaduni wa jamii moja hupokezwa kwa jamii ijayo kutoka wapi?Question 8
- Ipi kati ya hizi si miongoni mwa mila na utamaduni wa jamii mbalimbali nchini?Question 9
- Ni jamii zipi ambazo zinatambulika kwa utalii na shughuli za uvuvi miongoni mwa hizi?Question 10
- Ni nini maana ya kuonea fahari kama ilivyotumika kwenye kifungu hiki?Question 11