CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 10
Ni jamii zipi ambazo zinatambulika kwa utalii na shughuli za uvuvi miongoni mwa hizi?
From Test 16 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Ni jamii zipi ambazo zinatambulika kwa utalii na shughuli za uvuvi miongoni mwa hizi?
- AJamii za bonde la ufa
- BJamii za kaskazini
- CJamii za eneo la magharibi
- DJamii za mwambao wa pwani
Answer
D. Jamii za mwambao wa pwani
Kifungu kinasema jamii za pwani zinatambulika kwa mapishi, nyimbo, sherehe, na kuwa "Uvuvi na utalii huwa maarufu sana katika owani ya Kenya."
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Ni nini maana ya kuonea fahari kama ilivyotumika kwenye kifungu hiki?Question 11
- Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali kutoka 12 hadi 15 Suzana aliwashangaza wengi alipoibuka kuwa mshindi…Question 12
- Kifungu kinasema kuwa jamii iliamini nini kuhusu uwezo na jinsia?Question 13
- Kipaji cha Suzana kilitambulika wakati gani kwa mujibu wa kifungu hiki?Question 14
- Aya ya mwisho inasema kuwa Suzana alipewa zawadi ngapi?Question 15
- Kutoka swali la 16 hadi 20, umepewa viteuzi vinne kwa kila kiteuzi chagua jibu sahihi. Majanga ni mambo yanayoleta…Question 16