naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 9

Ipi kati ya hizi si miongoni mwa mila na utamaduni wa jamii mbalimbali nchini?

From Test 16 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Ipi kati ya hizi si miongoni mwa mila na utamaduni wa jamii mbalimbali nchini?

  1. AVyakula vyao
  2. BMavazi yao
  3. CIdadi yao
  4. DSherehe zao

Answer

C. Idadi yao

Idadi ya watu (idadi yao) si sehemu ya mila au utamaduni, tofauti na vyakula, mavazi na sherehe.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test