CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 8
Aya ya pili inasema kuwa utamaduni wa jamii moja hupokezwa kwa jamii ijayo kutoka wapi?
From Test 16 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Aya ya pili inasema kuwa utamaduni wa jamii moja hupokezwa kwa jamii ijayo kutoka wapi?
- AKutoka kwa watalii
- BKutoka kwa jamii Jirani
- CKutoka kwa vijana
- DKutoka kwa kizazi kimoja
Answer
D. Kutoka kwa kizazi kimoja
Aya ya pili inasema utamaduni "hurithi kutoka kizazi kimoja hadi kingine."
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Ipi kati ya hizi si miongoni mwa mila na utamaduni wa jamii mbalimbali nchini?Question 9
- Ni jamii zipi ambazo zinatambulika kwa utalii na shughuli za uvuvi miongoni mwa hizi?Question 10
- Ni nini maana ya kuonea fahari kama ilivyotumika kwenye kifungu hiki?Question 11
- Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali kutoka 12 hadi 15 Suzana aliwashangaza wengi alipoibuka kuwa mshindi…Question 12
- Kifungu kinasema kuwa jamii iliamini nini kuhusu uwezo na jinsia?Question 13
- Kipaji cha Suzana kilitambulika wakati gani kwa mujibu wa kifungu hiki?Question 14