CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 3
Lipi kati ya haya si tatizo ambalo linashuhudiwa katika msimu wa kiangazi kikali?
From Test 16 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Mazungumzo
Lipi kati ya haya si tatizo ambalo linashuhudiwa katika msimu wa kiangazi kikali?
- AMafuriko
- BKunyauka kwa mimea
- CUkosefu wa maji
- DWanyama kufa kwa kiu
Answer
A. Mafuriko
Mafuriko hutokana na mvua nyingi (msimu wa masika), si ukame wa kiangazi; Jona anataja ukame, ukosefu wa maji, kunyauka kwa mimea na vifo vya mifugo kama matatizo ya kiangazi.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Inapendekezwa kwamba ni nani ambaye anafaa kushughulikia hali hii?Question 4
- Kwa kutafuta soko la kuuza mifugo, serikali itakuwa ikisaidia vipi?Question 5
- Msimu wa baridi nyingi bila mvua huitwa vipi?Question 6
- Soma ufahamu unaofuata kisha ujibu swali la 7 hadi 11 Taifa la Kenya lina makabila zaidi ya arubaini na matano.…Question 7
- Aya ya pili inasema kuwa utamaduni wa jamii moja hupokezwa kwa jamii ijayo kutoka wapi?Question 8
- Ipi kati ya hizi si miongoni mwa mila na utamaduni wa jamii mbalimbali nchini?Question 9