CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 18
Kutoka swali la 16 hadi 20, umepewa viteuzi vinne kwa kila kiteuzi chagua jibu sahihi. Majanga ni mambo yanayoleta ___16___ katika maisha ya mwanadamu. Kuna…
From Test 16 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Kutoka swali la 16 hadi 20, umepewa viteuzi vinne kwa kila kiteuzi chagua jibu sahihi.
Majanga ni mambo yanayoleta ___16___ katika maisha ya mwanadamu. Kuna majanga kama vile mtetemeko wa ___17___, moto unaosababishwa na vyombo mbalimbali, ajali za barabarani na nyumbani, mafuriko mbali na majanga mengine mengi. Majanga huleta ___18___ na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali pamoja na vifo. Ni muhimu kuwa na njia ___19___ kuzuia majanga katika sehemu tunazoishi ama tunazofanyia kazi. Tunaweza kuzuia majanga kwa kuwa ___20___, kufuata kanuni na sheria ambazo tunaelezwa kuzifuata.
Pengo la 18:
- Amoto
- Bfaida
- Chasira
- Dhasara
Answer
D. hasara
Majanga huleta 'hasara' (upotevu wa mali na uharibifu), si faida.
More Grade 6 Kiswahili questions from this test
- Kutoka swali la 16 hadi 20, umepewa viteuzi vinne kwa kila kiteuzi chagua jibu sahihi. Majanga ni mambo yanayoleta…Question 19
- Kutoka swali la 16 hadi 20, umepewa viteuzi vinne kwa kila kiteuzi chagua jibu sahihi. Majanga ni mambo yanayoleta…Question 20
- Tambua sentensi yenye kivumishi kimilikishi miongoni mwa hizi.Question 21
- Ni sentensi ipi ambayo imeakifishwa kwa usahihi?Question 22
- Ni sentensi gani inayoonyesha matumizi sahihi ya maneno ya heshima na adabu?Question 23
- Ni neno gani ambalo halipatikani katika ngeli ya YA-YA?Question 24