naQonda

CBC Grade 6 Kiswahili Revision Exam 2026 · Question 19

Kutoka swali la 16 hadi 20, umepewa viteuzi vinne kwa kila kiteuzi chagua jibu sahihi. Majanga ni mambo yanayoleta ___16___ katika maisha ya mwanadamu. Kuna…

From Test 16 — Karatasi ya Marudio 2026 · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Kutoka swali la 16 hadi 20, umepewa viteuzi vinne kwa kila kiteuzi chagua jibu sahihi.

Majanga ni mambo yanayoleta ___16___ katika maisha ya mwanadamu. Kuna majanga kama vile mtetemeko wa ___17___, moto unaosababishwa na vyombo mbalimbali, ajali za barabarani na nyumbani, mafuriko mbali na majanga mengine mengi. Majanga huleta ___18___ na kusababisha uharibifu mkubwa wa mali pamoja na vifo. Ni muhimu kuwa na njia ___19___ kuzuia majanga katika sehemu tunazoishi ama tunazofanyia kazi. Tunaweza kuzuia majanga kwa kuwa ___20___, kufuata kanuni na sheria ambazo tunaelezwa kuzifuata.

Pengo la 19:

  1. Aza
  2. Bya
  3. Cwa
  4. Dla

Answer

A. za

'Njia za kuzuia majanga' hutumia kiambishi 'za' kinachopatana na nomino 'njia' (ngeli ya N-N, wingi).

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 6 Kiswahili questions from this test