CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025: CBC Assessment 2025 Set 1 (Lugha)
Kiswahili — CBC Assessment 2025 Set 1 (Lugha) · CBC Assessment 2025 Set 1 (Lugha) · 28 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha.
All 28 questions with answers
- Question 1: Kulingana na mazungumzo haya, Pendo yuko wapi?Answer: C. Shuleni
- Question 2: Baba alisema ni akina nani wako wazima?Answer: D. Mama na ndugu zake Pendo.
- Question 3: Pendo alikuwa anahitaji nini?Answer: B. Pesa za mahitaji binafsi.
- Question 4: Baba yake Pendo alimwambia kuwa angemtumia shilingi ngapi?Answer: B. 5000
- Question 5: Basi linalotoka Dinda kuelekea mjini linaitwaje?Answer: A. Manyanga
- Question 6: Basi hili huanza safari yake wakati gani?Answer: D. Alfajiri.
- Question 7: Manyanga likikaribia kituoni hufanya nini?Answer: B. Hupiga honi
- Question 8: Mwendo wa saa nane, Manyanga huanza safari kuelekea wapi?Answer: A. Kijijini Dinda.
- Question 9: Anayepokea nauli na kupeana tiketi ni nani?Answer: C. Kondakta
- Question 10: Marafiki hawa walikuwa akina nani?Answer: C. Ndovu na Mbogo
- Question 11: Ndovu alipanga safari ya kuelekea wapi?Answer: A. Kumtembelea nyanya yake.
- Question 12: Ndovu alimnunulia nyanya yake zawadi gani?Answer: B. Dagaa
- Question 13: Nyanya alimwandalia nini ndovu?Answer: D. Mboga za majani.
- Question 14: Ndovu alipewa zawadi gani alipokuwa akirudi kwake?Answer: A. Peremende
- Question 15: Chagua neno sahihi la pengo la 16.Answer: C. anasoma
- Question 16: Chagua neno sahihi la pengo la 17.Answer: B. la
- Question 17: Chagua neno sahihi la pengo la 18.Answer: C. maji
- Question 18: Chagua neno sahihi la pengo la 19.Answer: A. yake
- Question 19: Chagua neno sahihi la pengo la 20.Answer: B. kwao
- Question 20: Andika jina la kifaa hiki.Answer: C. Reki
- Question 21: Andika sentensi ifuatayo kwa wingi. Yeye ni mtoto mwema.Answer: D. Wao ni watoto wema.
- Question 22: Chagua kitenzi katika sentensi hii. Abiria amewasili sokoni kwaoAnswer: B. Amewasili
- Question 23: Neno 'Bendera' lina silabi ngapi?Answer: D. Tatu
- Question 24: Mwezi wa kumi wa mwaka huitwaje?Answer: B. Oktoba
- Question 25: Mtu anayetengeza vitu kwa kutumia mbao kama kiti huitwa nani?Answer: D. Seremala.
- Question 26: Mchoro huu una maana gani?Answer: B. Kivukomilia
- Question 27: Ndege yupi kati ya hawa hafugwi nyumbani?Answer: D. Kunguru.
- Question 28: Mchuuzi hufanya kazi gani?Answer: C. Kutembeza vitu akiuza.