CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 24
Mwezi wa kumi wa mwaka huitwaje?
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 Set 1 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
25. Mwezi wa kumi wa mwaka huitwaje?
- ANovemba
- BOktoba
- CJuni
- DSeptemba
Answer
B. Oktoba
Miezi kwa mpangilio: ... Agosti (8), Septemba (9), Oktoba (10), Novemba (11). Mwezi wa kumi ni Oktoba.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Mtu anayetengeza vitu kwa kutumia mbao kama kiti huitwa nani?Question 25
- Mchoro huu una maana gani?Question 26
- Ndege yupi kati ya hawa hafugwi nyumbani?Question 27
- Mchuuzi hufanya kazi gani?Question 28
- Kulingana na mazungumzo haya, Pendo yuko wapi?Question 1
- Baba alisema ni akina nani wako wazima?Question 2