CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 26
Mchoro huu una maana gani?
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 Set 1 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati

27. Mchoro huu una maana gani?
- AKuna moto
- BKivukomilia
- CFunga mkanda
- DKuna vidato.
Answer
B. Kivukomilia
Mistari myeupe barabarani ambapo watu huvuka huitwa kivukomilia (kivuko cha milia).
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Ndege yupi kati ya hawa hafugwi nyumbani?Question 27
- Mchuuzi hufanya kazi gani?Question 28
- Kulingana na mazungumzo haya, Pendo yuko wapi?Question 1
- Baba alisema ni akina nani wako wazima?Question 2
- Pendo alikuwa anahitaji nini?Question 3
- Baba yake Pendo alimwambia kuwa angemtumia shilingi ngapi?Question 4