CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 27
Ndege yupi kati ya hawa hafugwi nyumbani?
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 Set 1 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
28. Ndege yupi kati ya hawa hafugwi nyumbani?
- ANjiwa
- BBata
- CKuku
- DKunguru.
Answer
D. Kunguru.
Njiwa, bata na kuku hufugwa nyumbani. Kunguru ni ndege wa porini, hafugwi.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Mchuuzi hufanya kazi gani?Question 28
- Kulingana na mazungumzo haya, Pendo yuko wapi?Question 1
- Baba alisema ni akina nani wako wazima?Question 2
- Pendo alikuwa anahitaji nini?Question 3
- Baba yake Pendo alimwambia kuwa angemtumia shilingi ngapi?Question 4
- Basi linalotoka Dinda kuelekea mjini linaitwaje?Question 5