naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 3

Pendo alikuwa anahitaji nini?

From Kiswahili — CBC Assessment 2025 Set 1 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo

Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali la 1 hadi 5.

(Pendo akiwa kwenye simu akiongea na baba yake)
Baba: Halo Pendo.
Pendo: Halo baba, shikamoo.
Baba: Marahaba mwanangu, hujambo?
Pendo: Sijambo baba. Vipi nyie huko?
Baba: Hata sisi tu wazima. Mama na ndugu zako wanaendelea vizuri. Unaendeleaje na masomo?
Pendo: Naendelea vyema. Walimu wetu ni wazuri. Tunafurahia sana masomo.
Baba: Zingatia sana masomo mwanangu. Je una mahitaji yoyote?
Pendo: Nahitaji pesa za kununulia mahitaji binafsi.
Baba: Sawa nitatuma shilingi elfu tano. Mwalimu Paulo atakutunzia. Atakuwa anakupa unapohitaji.
Pendo: Asante baba.
Baba: Haya, nakutakia masomo mema mwanangu.
Pendo: Asante, wasalimie wadogo zangu.

4. Pendo alikuwa anahitaji nini?

  1. AVitabu.
  2. BPesa za mahitaji binafsi.
  3. CChakula.
  4. DPesa za kwenda ziara.

Answer

B. Pesa za mahitaji binafsi.

Pendo anamwambia baba yake: "Nahitaji pesa za kununulia mahitaji binafsi."

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test