CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 2
Baba alisema ni akina nani wako wazima?
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 Set 1 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Ufahamu wa Mazungumzo
Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu swali la 1 hadi 5.
(Pendo akiwa kwenye simu akiongea na baba yake)
Baba: Halo Pendo.
Pendo: Halo baba, shikamoo.
Baba: Marahaba mwanangu, hujambo?
Pendo: Sijambo baba. Vipi nyie huko?
Baba: Hata sisi tu wazima. Mama na ndugu zako wanaendelea vizuri. Unaendeleaje na masomo?
Pendo: Naendelea vyema. Walimu wetu ni wazuri. Tunafurahia sana masomo.
Baba: Zingatia sana masomo mwanangu. Je una mahitaji yoyote?
Pendo: Nahitaji pesa za kununulia mahitaji binafsi.
Baba: Sawa nitatuma shilingi elfu tano. Mwalimu Paulo atakutunzia. Atakuwa anakupa unapohitaji.
Pendo: Asante baba.
Baba: Haya, nakutakia masomo mema mwanangu.
Pendo: Asante, wasalimie wadogo zangu.
3. Baba alisema ni akina nani wako wazima?
- AMajirani
- BWananchi
- CMarafiki
- DMama na ndugu zake Pendo.
Answer
D. Mama na ndugu zake Pendo.
Baba anasema: "Hata sisi tu wazima. Mama na ndugu zako wanaendelea vizuri."
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Pendo alikuwa anahitaji nini?Question 3
- Baba yake Pendo alimwambia kuwa angemtumia shilingi ngapi?Question 4
- Basi linalotoka Dinda kuelekea mjini linaitwaje?Question 5
- Basi hili huanza safari yake wakati gani?Question 6
- Manyanga likikaribia kituoni hufanya nini?Question 7
- Mwendo wa saa nane, Manyanga huanza safari kuelekea wapi?Question 8