CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 28
Mchuuzi hufanya kazi gani?
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 Set 1 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
30. Mchuuzi hufanya kazi gani?
- AKusuka watu.
- BKuunda vitu kwa kutumia udongo.
- CKutembeza vitu akiuza.
- DKupaka rangi.
Answer
C. Kutembeza vitu akiuza.
Mchuuzi ni mtu anayetembeza bidhaa akiziuza.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Kulingana na mazungumzo haya, Pendo yuko wapi?Question 1
- Baba alisema ni akina nani wako wazima?Question 2
- Pendo alikuwa anahitaji nini?Question 3
- Baba yake Pendo alimwambia kuwa angemtumia shilingi ngapi?Question 4
- Basi linalotoka Dinda kuelekea mjini linaitwaje?Question 5
- Basi hili huanza safari yake wakati gani?Question 6