CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 25
Mtu anayetengeza vitu kwa kutumia mbao kama kiti huitwa nani?
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 Set 1 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
26. Mtu anayetengeza vitu kwa kutumia mbao kama kiti huitwa nani?
- ABawabu
- BMwashi
- CMsusi
- DSeremala.
Answer
D. Seremala.
Seremala hutengeneza vitu kwa mbao. Bawabu hulinda lango, mwashi hujenga kwa mawe na msusi husuka nywele.