CBC Grade 4 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 21
Andika sentensi ifuatayo kwa wingi. Yeye ni mtoto mwema.
From Kiswahili — CBC Assessment 2025 Set 1 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Umoja na Wingi
22. Andika sentensi ifuatayo kwa wingi.
Yeye ni mtoto mwema.
- AYeye ni watoto wema.
- BWao ni mtoto mwema.
- CWao ni watoto mwema.
- DWao ni watoto wema.
Answer
D. Wao ni watoto wema.
Wingi wa "yeye" ni "wao", wa "mtoto" ni "watoto", na "mwema" huwa "wema": Wao ni watoto wema.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Chagua kitenzi katika sentensi hii. Abiria amewasili sokoni kwaoQuestion 22
- Neno 'Bendera' lina silabi ngapi?Question 23
- Mwezi wa kumi wa mwaka huitwaje?Question 24
- Mtu anayetengeza vitu kwa kutumia mbao kama kiti huitwa nani?Question 25
- Mchoro huu una maana gani?Question 26
- Ndege yupi kati ya hawa hafugwi nyumbani?Question 27